Msaada jinsi ya kupata software ya kudownlod game kwenye PC ya apple

Alexander McQueen

Senior Member
Joined
Aug 30, 2016
Posts
186
Reaction score
41
Habari za saa hizi wana jf naomba msaada jinsi ya kupata software ya kuweza kuitumia kudownlod mafile kama games etc kwenye pc ya apple asanteni
 
Duh hujaeleweka kabisa!
Jinsi ya kupata Apple kivip sasa. Kwan wewe unazungumzia Apple ipi iyo ebu eleza vizur
 
simu zina application sababu hazina nguvu, pc zina nguvu ndio maana application hazina maaana unatakiwa utafute tu jina la website na sio application
 
Software zipo;download software iitwayo Bitcomet alafu baada ya hapo install kwenye computer yako kisha nenda Google search andika neno Torrentz 2 kisha bonyeza search.....baada ya sekunde chache utaona websites za torrents lakini wewe nenda sehemu ya chini kabisa ambako wameandika Torrentz2searchTorrentz2 bonyeza hapo itatokea space ya kuingiza maneno kwaajili ya kusearch lakini pia ukiitaji chochote kipya hapo utakikuta na unaweza kudownload chochote bure iwe ni series,movies,makala maalum,vitabu,games,miziki na shows mbali mbali za nje,vile vile unaweza kudownload windows na software mbali mbali kadri uwezavyo. Zipo websites nyingi zinatoa chance ya kudownload brand zote free kabisa lakini kati ya hizo usipokua makini unaweza ukashindwa kuzitumia kwakua nyingne zinaonyesha ziko blocked au ziko down hivyo unapotaka kuzifungua unaambiwa server not found lakini hakuna lolote zinapiga kazi kama kawaida hata iyo kickasstorrent ipo okey japo wameipiga pini.Endapo utashindwa basi ulete taarifa nikupe search engines nyingine
 
Asante sana ngoja nijarbu
 
Back
Top Bottom