Msaada: Jinsi ya kupata Ramani ya Nyumba

janjab

Senior Member
Joined
May 28, 2015
Posts
172
Reaction score
56
Nilikuwa nauliza jinsi ya kupata ramani nzuri ya kisasa ya nyumba ya kawaida vyumba vitatu sababu huku nilipo upatikanaji wa ramani ni issue.
 
mimi ninayo ya chumba tatu, ina mpaka ramani ya makaro ya maji taka ila sijaitumia wewe uko wapi?
 
Google sio rahisi kama kuweka Picha ya Diamond au Wema sepetu, hii ni kazi na inawaweka mjini watu wengi, wewe nenda Pm upewe bei, ramani niliyonayo mimi niliilipia pia
 
Ninsima Infinite,tunakutengenezea ramani from the scrach..bei zetu ninafuu. ArchDesign Pack ndio pack unayohitaji ambayo tuna:
-survey your land-land survey report
-makes consultation
-map
-3D images
natunakupatia map hard copy plus softcopy of both pack.
bei zetu ni nafuu na nogotiable.
 
Wekeni ramani hapa acheni uchoyo duh
 

Naomba taja bei zako
 
Kama ulipo ramani ni shida kujenga utajengaje ikiwa ramani ni shida??
 
Asante,baada ya kufanya survey ndio tunakupa gharama zetu(they are negotiable),gharama ya kuservey ni 100,000/-(also negotiable)

Duu we jamaa kiboko kwenda kuona tu (kuservey) ni laki? Hiyo ramani kuiandaa si utasema milioni au malaki we hufai kwa mkopo wala kuwekwa bondi yani hufai kiukweli
 

Haya kaka
 
Ni PM nikupe vtu vya uhakika......hatuwezi kuweka hadharani hii ni kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…