Kaka blog naona watu wengi c watembeleaji sana ila Facebook watu ni wengi Sana pia wote ni wabongo hivyo wanaelewa vizur lughaSina hakika lakini kama unamada zinazovutia hadi unapata watembeleaji wote hao. Kwanini usianzishe blogg halafu uwe unaitangaza kupitia hio page yako. Mana blogg ndio huwa zinaingiza pesa. Vinginevyo labda upate watu uwe unawatangazia biashara kupitia hiyo page yako.
Njia pekee ni kupata matangazo ya watu binafsi wewe kuwatangazia biashara. Pia tumia hiyohiyo page kujitangaza kwamba unatangaza biashara mbalimbali kwa makubaliano. Kisha uwe unatoa na contact zako wanakutafuta.Kaka blog naona watu wengi c watembeleaji sana ila Facebook watu ni wengi Sana pia wote ni wabongo hivyo wanaelewa vizur lugha
Kwa ujio wa Facebook instant articles unaweza kupata helaHabari wakuu.. naomba msaada nina page yangu Facebook ambayo iko update muda wote, pia mpka Sasa ina like 500+ na wanazidi kuongezeka siku adi siku, pia people reached wanafika 10000+ kwa kila post nayo post kwa muda huo..
Hivyo wakuu kutokana na Hali ya maisha kuwa ngumu na Bado ni mwanafunzi nimeamua kujiongeza jinsi gani naweza kujiongoza mwenyew na ndipo nilipopata wazo la Facebook page yangu inaweza kuniingizia pesa..
Msaada: nawezaje kutengeneza pesa kupitia Facebook page?
Karibu Adsense mkuu
Google hawababaishi
Nitapataje AdSense ninablog inazaidi yaviewers 10,000kwasiku