peter kasanga
Member
- Jun 1, 2017
- 49
- 9
naombeni msaada wenu jinsi ya kupata link za magroup ya WhatsApp ya mambele
Ya mambele kiaje mkuunaombeni msaada wenu jinsi ya kupata link za magroup ya WhatsApp ya mambele
Tumia hii app utapata magroup zaidi ya 35,000naombeni msaada wenu jinsi ya kupata link za magroup ya WhatsApp ya mambele
yan magroup ya watsapp ambayo naweza chat toka nchi mbali mbali uko mambele wenye skills mbali mbaliIkoje io chief au unasema whatsapp bussiness
yan magroup ya whatsapp ambayo naweza kuchat na watu mbali mbali wenye skills tofauti tofautiYa mambele kiaje mkuu
hiyo app niliyokupa hapo juu umeichekiyan magroup ya whatsapp ambayo naweza kuchat na watu mbali mbali wenye skills tofauti tofauti
yah thanks a lothiyo app niliyokupa hapo juu umeicheki
Si useme tu ya nchi za njeyan magroup ya watsapp ambayo naweza chat toka nchi mbali mbali uko mambele wenye skills mbali mbali
Vijana wako likizo shida tupuSi useme tu ya nchi za nje
Mambele ndo nini..vijana bwana
duh nomasaaanaTumia hii app utapata magroup zaidi ya 35,000
whatsapp group join Links