R_Breazy
Member
- Aug 28, 2025
- 32
- 54
Habari za wakati huu
Naombeni msaada au kama kuna wahusika moja kwa moja wanipe msaada niweze kupata bima ya afya.
Ndugu yangu amepata ajira serikalini mwaka huu, tangu aingie kazini amekuwa akifuatilia maswala ya bima ila hadi leo hajapata, worse situation pesa ya bima inakatwa na bima hajapata na wala hana access ya kutumia hiyo bima kupata huduma kwenye vituo vya afya.
Je, afanye nini ili apate bima yake kwa wakati,au atumie njia gani ili aweze kutumia bima yake sababu pesa anakatwa? Na kama bima hajapata afanyaje pesa anayokatwa isikatwe?
Mwenye uelewa hapa naomba msaada katika hili either direct or indirect.
Yupo Njombe.