Mbwa dume
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 6,289
- 10,999
Natumia desktop hp 60 HDD, 1GB RAM WINDOWS 7 32bits,
tatizo nikifungua faili lolote ndani kuna shortcut yenye jina la faili hilo.
Kwa mfano nimefungua faili lenye jina "KAZI" ndani yake utakuta mafaili yote yapo ila kuna shortcut yenye jina la kila faili!
nilikuwa natumia avast antivirus nikaitoa na sasa natumia microsoft security na nimei update lakini bado shortcut bado anasumbua,
wakati mwingine hata nikichomeka flash au memory card ya mtu nikimaliza kuscan nkifungua nakuta shortcut keshaingia kwenye mafaili yaliyomo!
MWENYE UELEWA ANISAIDIE...