acontinuer
JF-Expert Member
- Dec 9, 2015
- 241
- 256
ok. dell ya ngapi maana dell zipo nyingi ila niambie hizo code zahpo zinazoonekanaPC nayotumia ni dell
ok. dell ya ngapi maana dell zipo nyingi ila niambie hizo code zahpo zinazoonekanaPC nayotumia ni dell
[emoji23]Jaribu kutoa battery kisha iweke tena ( sina hakika sana though)
Km bitlocker hii ya kijinga sana. Iko strong lk walikosea sana hii inatoka pasipo kuweka hata password hapo nilitokea kuizarau sana. Ukiingia kweny control panel unaitoa hata pasipo password hapo ndipo nikaiona ya kijinga sanaKama alitumia bitloker kuna namba unapewa kwa ajili ya kuchange au kuondoa, sasa alitakiwa akupe izo namba, au jaribu kuuninstal bitloker yenyew
Atakuwa amefanya bit lockerIliwekwa kwa PC nyingine ilikuwa kama external ndio ikawa encrypted
Atakuwa amefanya bit locker
chakufanya tafuta pc nyingine. Ichomeke km external kisha ingia kwenye control panel, ingia kweny system and security, kisha bitlocker
tafuta hard disk yako kisha bonyeza decryption utakuwa umeitoa haiombi hata password
Njia ya 2
baada ya kuweka kwenye pc nyingine iformat kisha tafuta data recovey utakuwa umepata vitu vyako vyote.
Km ni bios trick nyingine itahusika lkn kwa njia hizo 2 nilizokuambia km ni bitlocker 100% inatoka. Tumia njia ya 1 au 2.
Bitlocker ni ya kijinga sana ni sawa umefunga mlango kwa kufuli bovu, lkn kwa nje mwizi anaweza kufikiri umefunga kumbe ni geresha
Km umenielewa ni hivi. Hiyo HD yako iliyoko kweny pc itoe kweny pc yako kisha iweke kweny pc nyingine km external hard disk (Ukishaitoa tafuta cable ya external hard disk ina midomo km flash ila yenyew inakuwa mikubwa. Kisha tumia njia nilizokuambia ili kutoa km itakuwa ni bitlockerMkuu if there is another way maana kupata external Case ya HDD ndio shida Tena na mi sipo town
Ni dell latitude D620
Code ni #204KGC8A7YE-595B
Ndio hio apo juu[/Q
ok. nauliweka passcode kwenye pc ya anina gani?Ni dell latitude D620
Code ni #204KGC8A7YE-595B
Ndio hio apo juu
au jalibu hizi code hapa 8plkpl8u
ukishindwa njoo inbox
Wakuu Wong Fei na gwangaeto nimeshindwa kufungua External Flash Disc, niliweka password ya bitlocker na nikawa nafungua vizuri lakini kwasasa inagoma.Km bitlocker hii ya kijinga sana. Iko strong lk walikosea sana hii inatoka pasipo kuweka hata password hapo nilitokea kuizarau sana. Ukiingia kweny control panel unaitoa hata pasipo password hapo ndipo nikaiona ya kijinga sana
Can I access my BitLocker-encrypted volume if I insert the hard disk into a different computer?
If the other computer is running Windows Vista Ultimate or Windows Vista Enterprise, the encrypted hard disk can be unlocked from the BitLocker Control Panel item on the alternate computer.
When you unlock the BitLocker-enabled hard disk on the alternate computer, the only authentication operation available will be recovery. The hard disk will appear in the BitLocker Control Panel item with an option to unlock the volume using the recovery password or recovery key.
Njia pekee ni recovery key uliyopewa ulipoweka BitLoker mara ya kwanza, soma maelezo kwa kirefu post yangu iliyopita. Kama haufanyi backup za maana data zako encryption ni kitu hatari sana kuchezea.Tumia njia ya comment ya 45 mkuu. Hii inatoka kirahisi sana.
Mkuu huu mchezo wa bitlocker nishaufanya sana tena sana. Nilipogundua udhaifu wake nikatokea kuidharau sana. Ww jaribu kuturn on bitlocker kweny partition yyte kweny pc yako kisha. Sasa ww nenda kwenye control panel kisha bitlocker, tafuta partition yako kisha turn off bitlocker, haikuombi hata key hapo hapo itaanza kudecrypt partition yako. Hapo ndipo niliidharau. Nilitegemea ukiwa una decrypt partition yako itakuomba key lkn wapi.Njia pekee ni recovery key uliyopewa ulipoweka BitLoker mara ya kwanza, soma maelezo kwa kirefu post yangu iliyopita. Kama haufanyi backup za maana data zako encryption ni kitu hatari sana kuchezea.
Mkuu huu mchezo wa bitlocker nishaufanya sana tena sana. Nilipogundua udhaifu wake nikatokea kuidharau sana. Ww jaribu kuturn on bitlocker kweny partition yyte kweny pc yako kisha. Sasa ww nenda kwenye control panel kisha bitlocker, tafuta partition yako kisha turn off bitlocker, haikuombi hata key hapo hapo itaanza kudecrypt partition yako. Hapo ndipo niliidharau. Nilitegemea ukiwa una decrypt partition yako itakuomba key lkn wapi.
Fanya zoezi fupi tu utaniambia. Hii ya kijinga sana mkuu kwa mtu anayejua pc ni km anakunywa maji.
Km mtu kaiba machine yako, anarepair window (Program tu zilikuwa installed ndizo zitapotea) kisha anaenda kweny control panel anatoa kiurahisi sana.Hiyo ni kwa vile ipo kwenye machine yako ile ile na tayari upo ndani ya machine i.e umeshaprovide key either kwa kuiandika wakati inaboot au kwa vile umetumia TPM kwa hiyo hiyo machine ni trusted.
Ukiweka hiyo HD kwenye machine nyingine haiwezi kukubali kuwa decrypted bila key.
Kwa vile upo ndani ya machine tayari ulinzi wa encryption hauhitajiki tena, mtu aliye ndani ya machine ana full access to all files. Bitlocker inakulinda ukiibiwa machine mtu hawezi kufungua data (kama umetumia PIN) au akiiba HD hawezi kusoma data.
Km mtu kaiba machine yako, anarepair window (Program tu zilikuwa installed ndizo zitapotea) kisha anaenda kweny control panel anatoa kiurahisi sana.
Njia ya 2 anaformat hd kazi kwisha.
Mkuu hii bitlocker ni ya ovyo sana, itamsumbua kwa mtu ambaye hajui pc tu. Sijajaribu kweny pc nyingine lkn nina uhakika kwa 99.9% inatoka hata kwa pc nyingine sbb unapofany decrypt hauombi key yyte, ingekuwa inaomba key hapo 100% ningekuunga mkono.
Ukitaka mtu hasisome file zako ni kuzi-zip, iso au rar kisha unapiga password. Miaka 100 mtu hawezi kusoma lbd km anajua password zako. Hii ndiyo njia ya salama .lbd km kuna njia tofauti na bitlocker lkn km ndiyo hii 100% inatoka. Fanya majaribio utakuja niambia
Ok!Mkuu umejichanganya kwenye test zako hauko sahihi, HAIOMBI KEY KWA VILE UPO KWENYE TRUSTED MACHINE ALREADY LOGGED IN! Kama nilivyosema BitLocker inatumia chip ya TPM ambayo ipo kwenye PC yako kujihakikishia kuwa upo kwenye machine ile ile, ukimove hiyo drive inakuwa invalid na haifunguki.
Nimekuwekea link ya Microsoft hapo juu, BitLocker inatumika na kila aina ya mashirika ikiwemo mabenki na mashirika ya serikali makubwa duniani kusecure data zao, nakuhakikishia hautaweza kutoa encryption ukimove hiyo drive kwenye machine nyingine.
Sidhani kama ni sahihi kufananisha full disk encryption na hizo zip za kufunga mafaili kadhaa tu.