Msaada: Jinsi ya kuondoa password kwenye laptop hard disk

HD password haitoki huo ndo ukweli inabidi ununue HD mpya.
 
Habari za jioni wakuu naombeni mnisaidie njia rahisi kutumia niweze kuondoa password kwenye HDD maana nimepewa mwenye nayo pia kasahau sasa nataka niipige window
ok, ngoja nikuulize swali moja alafu mengine yatafuta lengo kusaidia ninaweza nikakutumia software kama navyozani mimi ndio ivyo swali langu ni hivi ipo kwenye BIOS?
 
Wapendwa nina tekno boom siwezi toa pattern nikitaka rudisha kawaida inaniambia zimezuiwa na administrator ,sijui encryption, nifanyeje?
 
ok, ngoja nikuulize swali moja alafu mengine yatafuta lengo kusaidia ninaweza nikakutumia software kama navyozani mimi ndio ivyo swali langu ni hivi ipo kwenye BIOS?

Password ipo kwenye HDD lakini nikiwasha PC inaomba kwanza password ndio iendelee na Post (power on self test) yani in short bila kuinsert pass inakuwa kama bios ndio locked sababu hakuna kinachokuwa loaded
 
ok, nimekuelewa hiyo HDD iliwekwa passcode kwenye hiyo pc ambayo munaitumia sasa au iliwekwa kwenye pc nyengine?
 
Kama unachouliza ni windows password yaani ile inayoonekana baada ya logo ya windows
1. Toa CMOS battery na uiwashe ikiwa haina hiyo battery baadhi ya computer password zake huondoka hivyo kama haijaondoka
2. Badilisha operating system yaani windows na hapo password itaondoka
3.Kama hutaki kubadilisha chochote ndani ya disk yako kuna njia ya kitaalam zaidi na hapo utachangia 15000
Piga 0752367766
 
Kama alitumia bitloker kuna namba unapewa kwa ajili ya kuchange au kuondoa, sasa alitakiwa akupe izo namba, au jaribu kuuninstal bitloker yenyew
 
HD Password haitoki mzee acha ubishi, unless huyu jamaa anakosea anaongelea kitu amcho sio HD password. Tupa hiyo HD.
mkuu wewe tu unashindwa jiongeze iyo kitu inatoka siku moja njoo ofcn nikuoneshe vitu usivyo vijua na ww unionyeshe mimi nsivyo vijua wewe kunavitu unanizid na mm kunavitu nakuzidi usibshe angalia hoyo pcha hapo kwenye mshale
bios.jpg
 
Back
Top Bottom