Rudisha simu ya watu mkuu maana hapo ulipo tayari mwenyewe ashatumiwa E-mail kuwa namba ******** imewekwa kwenye simu *****wakuu naombeni msaada mana niliweka mobile ant thief kwenye cm yangu siku za nyuma kidogo sasa baada ya kubadilisha line tu simu inaniambia privacy protection pasword ambazo nimeshazisahau naitaji msaada mana nimeiflash kwa kutumia batan lakini wapi pia nimebackup lkn bado mwenye uelewa zaida naomaba anisaidie...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119]Rudisha simu ya watu mkuu maana hapo ulipo tayari mwenyewe ashatumiwa E-mail kuwa namba ******** imewekwa kwenye simu *****
wakuu naombeni msaada mana niliweka mobile ant thief kwenye cm yangu siku za nyuma kidogo sasa baada ya kubadilisha line tu simu inaniambia privacy protection pasword ambazo nimeshazisahau naitaji msaada mana nimeiflash kwa kutumia batan lakini wapi pia nimebackup lkn bado mwenye uelewa zaida naomaba anisaidie...
apana baadhi ya cm hii ipo kwenye cm moja kwa moja kwa MOJA cm yangu ni T800Navo jua mm wakati una register hiyo app ni lazima uweke email ya backup kama ukisahau password ili uweze ku reset
NI YANGU MKUU NILIZIWEKA MDA AFU NIMESAHAURudisha simu ya watu mkuu maana hapo ulipo tayari mwenyewe ashatumiwa E-mail kuwa namba ******** imewekwa kwenye simu *****
NI YANGU MKUU NILIZIWEKA MDA AFU NIMESAHAU
kutumia batani siyo kuflash hiyo inaitwa (hardware reset) you can solve that by writing another firmware, rather flashingwakuu naombeni msaada mana niliweka mobile ant thief kwenye cm yangu siku za nyuma kidogo sasa baada ya kubadilisha line tu simu inaniambia privacy protection pasword ambazo nimeshazisahau naitaji msaada mana nimeiflash kwa kutumia batan lakini wapi pia nimebackup lkn bado mwenye uelewa zaida naomaba anisaidie...
YAPHaukuweka email yako?
SO NIFANYEJE MKUUkutumia batani siyo kuflash hiyo inaitwa (hardware reset) you can solve that by writing another firmware, rather flashing
unaweza download aplication au kuna baadhi ya cm ipo kwenye setting then security utaiona chiniNaomba maelekezo wakuu namna ya kuweka hiyo mobile ant theft .
Nimekupata mkuuunaweza download aplication au kuna baadhi ya cm ipo kwenye setting then security utaiona chini
Simu yako ni aina gani kwenye thread yako huja itajaSO NIFANYEJE MKUU
Simu yako ni aina gani kwenye thread yako huja itajaSO NIFANYEJE MKUU