Msaada>> Jinsi ya kuondoa jar applications kwenye simu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada>> Jinsi ya kuondoa jar applications kwenye simu

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by YEYE, Mar 13, 2012.

 1. YEYE

  YEYE JF-Expert Member

  #1
  Mar 13, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 440
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Natumia Nokia E51, kuna application nilizi install kila nikizitoa zinagoma na nyingine hazi respond kabisa., Njia ninayotumia ku uninstall ni menu>> app mng>>remove. Apps zenyewe ni snaptu, facebook, thief alarm na baadhi ya theme nilizodownload toka ownskin.com, ila hz nyingine za sis na sisx zinatoka bila usumbufu
   
 2. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #2
  Mar 13, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,791
  Likes Received: 7,117
  Trophy Points: 280
  Sina jibu ila jaribu hivi

  1) jaribu ku install tena hizo software uzioverwrite then jaribu ku un install

  2) kama uli install software katika memory card jaribu kuingiza memory card kwenye s60v3 simu design yake ie. N73, n95, e71, e72, e5, e75, n80, 5370 na zengine kama hizo

  3) jaribu kutoa memory card kwa mda then rudisha halafu jaribu ku uninstall

  4) kuna software zipo za ku unistall but ni unsigned [NokiaVNN.com] app Uninstall v1.3.0 unaweza search kama ipo signed yake na kama una certificate unaweza isign

  5) kama umeshindwa yote fanya hard reset toa memory card then zima simu bonyeza nyota (*) namba tatu (3) na button ya kupigia simu (ya kijani) kwa mpigo then washa simu

  Onyo: ukifanya hard reset ni sawa na kuflash utapoteza data zote
   
 3. YEYE

  YEYE JF-Expert Member

  #3
  Mar 13, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 440
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mkuu hii ya ku install tena nimeshajaribu appl inaingia tena hai detect iliyokuwepo! Tatizo nilizi instal kwenye internal memory! Ngoja nitest hy app uliyoniambia, but thanx kwa msaada wako
   
Loading...