Msaada Jinsi ya kununua app play store

MASEBUNA

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2011
Posts
243
Reaction score
55
Kwa wale wajuzi wa haya mambo nawezaje kununua applications zinazo uzwa Google Play
 
Unabidi uwe umeunganisha taarifa zako za kibenki.... Na playstore
 
Hakuna njia ya kuiba?
Unafikiri unaweza kuwaibia google? Cha kukushauri. Download 4shared.... Au tumia onhax.net ili kupata apps ambazo zinauzwa play store. (Hawaweki apps zote zinazouzwa wanaweka zile popular) . itakufaa zaidi.... Ila si rahisi kuwaibia google.
 
UKIKUTA SOFTWARE INAUZWA PLAY STORE UNAWEZA KUIPATA BURE KWA

Ingia Google search andika Aptoide Apk then ipakue ,,,hyo software ipo kama Google play bt hyo Apps zinazouzwa Google play ktk Aptoide unapata bure
 
Mkuu nilijaribu hii kitu kupakua lakini mwishoni ikaniambia high risk virus..nikadelete
 
Tumia 4shared. Latest version... Una search vitu... Then una download apk just simple
 
Achana na mambo ya kuiba na kudownload cracked apps, apps zenyewe za playstore nyingi dollar moja mbili, kujichanga hata haiumizi akili, wewe nenda benki, unga kadi yako iweze kufanya online shopping, ingia playstore register details za kadi yako, kila ukihitaji kununua app unanunua fasta tu...

Simple as that. Haya maswala ya kudownload from unknown sources cracked apps nyingi zimekua modified zinafanya kitu flani kwenye simu yako kulingana na developer anavotaka.Ingia deep web watu wanauza paypal password na credit cards na info zote zilizoibiwa, ni njia kama hizi mtu unadownload software inalog kila kitu ulichoandika daily inatuma kwa email ya jamaa...
 
Mkuu naomaba msaada wa kuninunulia application ya whatsapp kwan naona wana option ya PAY FOR FRIEND nitakupa gharama yako mkuu asante.
 
Mkuu naomaba msaada wa kuninunulia application ya whatsapp kwan naona wana option ya PAY FOR FRIEND nitakupa gharama yako mkuu asante.

Whatsapp ni bure dunia nzima.
 
Whatsapp ni bure dunia nzima.

Mkuu mimi wamenipiga ban kwani kwenye symbian nilishatumia zaidi ya mwaka nikahamia android nikatumia mwaka moja ukaisha wakaniongezea miezi 10 nayo ilikua imeisha sasa kama wiki mbili zilizopita baada ya ku apdate application ndio ikakataa kufungua tena hadi leo napata ujumbe huu 0787******* IS NO LONGER ALLOWED TO USE OUR SERVICE
 
Nimejaribu kufuta na kudownload mara kadhaa lkn bado shida ni hiyohiyo nimejaribu kufungua kwenye sim ya symbian bado imegoma
 
Tatizoo hapo sio kulipia, tatizo kuna activity unafanya whatsapp ambayo hawaruhusu so wakaipiga hiyo namba ban.. Soma hapa

Tatizoo hapo sio kulipia, tatizo kuna activity unafanya whatsapp ambayo hawaruhusu so wakaipiga hiyo namba ban.. Soma hapa

[/FONT][/COLOR]
[/FONT][/COLOR]
Mkuu hapo nini cha kufanya ili niendelee kupata huduma?
 
Mkuu hapo nini cha kufanya ili niendelee kupata huduma?

Watumie email hawa jamaa support@whatsapp.com, wambie kuhusu tatizo lako kua unaona hiyo message na lini imeanza wao watakwambia tatizo ni nini na wakiifungua watakupa warning usirudie chochote ulichofanya ikawa banned.
 
Hi,

Your WhatsApp account was banned because you violated our Terms of Services and were using an unauthorized application and/or unsupported device. At this time we have decided under our own discretion, to unban your account. We appreciate you downloading the official application.

Should we determine that your actions continue to violate our Terms of Service, your account will again be banned. There will be no possibility of an appeal.

If you have any other questions or concerns, please feel free to contact us. We would be happy to help!

Asante sana mkuu kwa msaada wako wamenifungulia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…