Msaada: Jinsi ya kumripoti mkwepa kodi

Msaada: Jinsi ya kumripoti mkwepa kodi

omereyo

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2012
Posts
308
Reaction score
91
Habari wakuu,
Naombeni msaada juu ya kutoa taarifa kuhusu mtu anayekwepa kodi ili atumbuliwe.

Natanguliza shukrani
 
Roho mbaya tu, we unalipa ipasavyo? kaombe kazi tra maana unajitolea
 
tra hawana shukrani kuna jamaa alireport mpaka akaweka ndani
sijui kesi yake imeishaje
 
Hii dunia ina watu wana balaa sana huyu sijui ana roho mbaya kiasi gani, itakuwa amekopa akanyimwa anaanza ufedhuli wake mungu akusaidie malengo yako
 
Tanzania nchi ya ajabu sana maana haijulikani tunasimamia misingi ipi?

Ukitaka toa taarifa ya ukwepaji kodi, wizi na mfanano wake unaonekana mnoko.

Usiposema pia unaambiwa huna uzalendo
 
Tusikwepe kodi manake saivi angalau kuna matumaini zitatumika vyema!
 
Nimeenda kwa MUHINDI nimenunua blender ya thamani ya 120,000/=akaniuzia kwa 105000/= akanipa electronic receipt Yenye thamani ya 120,000/=

Sijamuelewa kabisa
 
una faidika nini na hyo kodi?kwanza hii nchi inatakiwa iwe FREE TAX,tuna utajiri mkubwa wa madini,gesi asilia n,k,lakini bhado wanaendelea kutukamua wananchi wao,
 
Back
Top Bottom