msaada jinsi ya kulipia whatsapp!

msaada jinsi ya kulipia whatsapp!

Mimi ilikuwa inaisha june 25 mwaka huu ila kama wiki 2 zilizopita nikatumiwa msg kwamba ita expire june 25 2015 bila hata ya kulipia chochote. Inawezekana na wewe ukatumiwa hiyo msg maana na mimi nilikuwa nawaza jinsi gani ya kulipia.
 
Misijawahi lipia tangu 2012 june na hv juzi wameiactivate tena so mwaka tatu sasa nimeuanza
 
Wanalipia wenzetu wanaoishi duniani sisi huku nifree utaongezewa mwaka tena
 
Ahsanteni sana nasubiri waniongezee mwaka maana nilishachanganyikiwa aise
 
Back
Top Bottom