msaada jinsi ya kulipia whatsapp!

msaada jinsi ya kulipia whatsapp!

the horticulturist

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2012
Posts
1,959
Reaction score
1,929
Natumia whatsapp kwenye blackberry 9800 na nashukuru ni watu wa mwanzo kujiunga na whatsapp kwahiyo muda wangu majaribio whatsapp kwangu nilipewa miaka miwili,sasa mwezi July namaliza muda wa majaribio natakiwa kuilipia sasa account ambayo mimi ninayo ni ya crdb pekee,je inafaa kulipia!?kama haifai ni jinsi gani nitafanikisha maana kufungua account ya paypal kwangu ni ngumu sana!natanguliza shukrani
 
Kumbe whatsapp hua inalipiwaa???
 
Hata nikifuta nakuinstall upya na hata nikibadili simu bado trial inahesabu vile vile hata ukijiunga then ukaacha kutumia bila kujiondoa whatsapp miezi yako inahesabika kawaida,nimebakiwa na mwezi mmoja tu na kubadili line aise ni ngumu sana nitapoteza meeengi mno
 
Natumia whatsapp kwenye blackberry 9800 na nashukuru ni watu wa mwanzo kujiunga na whatsapp kwahiyo muda wangu majaribio whatsapp kwangu nilipewa miaka miwili,sasa mwezi July namaliza muda wa majaribio natakiwa kuilipia sasa account ambayo mimi ninayo ni ya crdb pekee,je inafaa kulipia!?kama haifai ni jinsi gani nitafanikisha maana kufungua account ya paypal kwangu ni ngumu sana!natanguliza shukrani

usilipie, ukibakiza mwez mmoja watakuongezea mwaka
 
minadaiwa US$0.99 za whatsapps.kwa pesa za kitanzania ni sawa na sh. ngapi jamani,msaada please
 
Natumia whatsapp kwenye blackberry 9800 na nashukuru ni watu wa mwanzo kujiunga na whatsapp kwahiyo muda wangu majaribio whatsapp kwangu nilipewa miaka miwili,sasa mwezi July namaliza muda wa majaribio natakiwa kuilipia sasa account ambayo mimi ninayo ni ya crdb pekee,je inafaa kulipia!?kama haifai ni jinsi gani nitafanikisha maana kufungua account ya paypal kwangu ni ngumu sana!natanguliza shukrani
kaka tatizo lako ninalo pia.mimi mwisho ni mwezi wa8 nafikiria kumtafuta mtu mwenye paypal account anilipie then mimi nitamtoa ya vocha.hata mimi sitaki kubadili no nyingine tena
 
kwa nchi nyingi Africa ila sina uhakika sana Ni zipi ila Tanzania inclusive hawalipii whatsapp..., me nlianza kutumia 2011 but sijawahi lipia had Leo ikifika Siku ya ku expire wanakwambia wamekuongezea mwaka mwingine hii Ni kutokana na mufumo ya kulipia online kuwa haijakaa vizuri bado kwetu... , so mkuu usiwe na wasiwasi
 
Thanks a lot ndugu maana nilikua sipati jibu nikiwaza how to buy it,thanks
 
Aaaaah we kausha tu.... mie nilipewa 1 Year ulivyoisha nika uninstall then nikainstall tena haaaa haaaa life time hata nibadili simu ila the same number huwa ni life time.....
Screenshot_2014-06-05-16-34-27.png
 
Back
Top Bottom