Habarini.
Nahitaj msaada wa haraka kwa yeyote anayefahamu jinsi ya kulipia bidhaa alibaba hatua na taratibu na kujiridhisha kuwa pesa yang itakuwa salama pasipo utapeli.ahsanteni

Usifanye malipo nje na system ya Alibaba eti mnalipiana WeChat au WhatsApp hapo utalizwa vizuri sana... Lipia ndani ya mfumo wa Alibaba. Kulipia unatumia kadi inayoweza kufanya manunuzi mtandaoni, na suggest tumia M-Pesa VisaCard.