Joseph Cliff Member Joined May 31, 2016 Posts 28 Reaction score 6 Jul 7, 2016 #1 Nimejaribu kulipia kwa njia ya M-pesa lakini kuna sehemu nafika nakwama wanasema niweke namba ya akauti noamba msaada. nifanyaje? au kama njia ninayo tumia sio sahihi ningependa kujua njia sahihi..
Nimejaribu kulipia kwa njia ya M-pesa lakini kuna sehemu nafika nakwama wanasema niweke namba ya akauti noamba msaada. nifanyaje? au kama njia ninayo tumia sio sahihi ningependa kujua njia sahihi..
Z Zawadi Ngoda JF-Expert Member Joined Aug 13, 2009 Posts 4,367 Reaction score 2,404 Jul 7, 2016 #2 Joseph Cliff said: Nimejaribu kulipia kwa njia ya M-pesa lakini kuna sehemu nafika nakwama wanasema niweke namba ya akauti noamba msaada. nifanyaje? au kama njia ninayo tumia sio sahihi ningependa kujua njia sahihi.. Click to expand... Ingiza Namba yako ya form four ya mtihani na mwaka. Mfano S3244. 0183.2013. Nimefanya hivyo na kufanikisha.
Joseph Cliff said: Nimejaribu kulipia kwa njia ya M-pesa lakini kuna sehemu nafika nakwama wanasema niweke namba ya akauti noamba msaada. nifanyaje? au kama njia ninayo tumia sio sahihi ningependa kujua njia sahihi.. Click to expand... Ingiza Namba yako ya form four ya mtihani na mwaka. Mfano S3244. 0183.2013. Nimefanya hivyo na kufanikisha.