Msaada: Jinsi ya kulipa school fee kwa kutumia 'Swift Code'

mdau mpya

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
471
636
Kulipa kwa swift code
Guys kuna chuo na apply huko kwa madiba sasa wamenipa hizi taarifa nikalipie application fee. Mwenye ufahamu anipe nondo

Bank: Standard Bank
Branch: Braamfontein (004 805)
Current Account #: 200 346 385
CI Number: 074A
SWIFT CODE: SBZAZAJJ (International applicants only)
Account Name: - Application Fees
Amount: R200.00
Payment Reference: L833783
 
Nenda kwenye bank yako wape hizo details watatuma pesa panapohusika cha ajabu nini hapo?

Hiyo swift code inatumika kuitambua ni bank ipi bank yako watume pesa basi.
 
Kila bank ina hiyo kitu inaitwa swift code au bank routing Number nadhani ni kama kitambulisho ngazi ya kimataifa hata mimi niliwahi tumia swiftcode ya CRDB ili niingiziwe fedha toka nje ya nchi.
Ukienda bank wao wanaelewa hiyo kitu usihofu kijana
 
Back
Top Bottom