Msaada::jinsi ya kukata laini ya simu.

Msaada::jinsi ya kukata laini ya simu.

Nashauli usikate mwenye unaweza ukaiaribu line bora ukatiwe na kampuni husika maana wana vifaa special kwa ajili ya kazi hyo Somji Juma
 
Last edited by a moderator:
habari zenu wakuu..
naomba mnisaidie jinsi gani naweza kukata laini yangu ili iwe MICRO SIM from MIN-SIM..

Kama line ya voda kwa dsm vodacon wana micro chips utainunua kwa 2500 ila uwe umehamisha data zako ktoka simcard ya sasa maana wabakuwekea kapya . Kwa mitandao mingine sijui kama wameshaleleta microchips nilijaribu kukatia kwa s/dealer wa voda wajakisea!!!!!wakaniagizia vodashop
 
Ukiwa makini unaweza kukata mwenyewe kwa mkasi, ila kabla kukata tafuta line ya majaribio, ukifanikisha unaitumia kugandamizia kukata line unayotumia
Mimi nilishafanya mara mbili kwa mafanikio
 
Back
Top Bottom