Msaada::jinsi ya kukata laini ya simu.

Msaada::jinsi ya kukata laini ya simu.

msafwa93

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2011
Posts
4,840
Reaction score
6,141
habari zenu wakuu..
naomba mnisaidie jinsi gani naweza kukata laini yangu ili iwe MICRO SIM from MIN-SIM..
 
hapo mkuu tafuta mtu mwenye nayo hiyo micro sim.ndio ugandamizie ukate na mkasi hata dk moja haishi,ila ukisema ubahatishe utamaliza hata box zima.Kama una hela nenda voda/tigo/airtel wakukatie kwa shilingi elfu 4!!!hata sekunde haiishi.We azima kwa mtu mwenye line ya size hiyo kata mwenyewe.
 
unataka kukata line? unaelewa wanaokata line lengo lao nini? umebadilisha simu au unatumia ileile? micro sim card zinatumika ktk baadhi ya smartphones!
 
asante kwa ushauri mkuu..
 
unataka kukata line? unaelewa wanaokata line lengo lao nini? umebadilisha simu au unatumia ileile? micro sim card zinatumika ktk baadhi ya smartphones!

naelewa mkuu..
nimenunua smartphone inayotumia MICRO SIM..
 
Nenda tigo pale mlimani mimi yangu nimekata bure kabisa
 
Kata sambamba na ule moyo wa line tafuta mkasi ule wa kukatia manila
 
habari zenu wakuu..
naomba mnisaidie jinsi gani naweza kukata laini yangu ili iwe MICRO SIM from MIN-SIM..

Kwa nini ukate line, kwa nini usi swap line ukapata micro sim card mpya. Tembelea vodashop iliyokaribu nawe. Mbona mnapenda kufanya maisha magumu? Siku hizi micro sim card ziko za kumwaga.
 
kwa sh.ngapi.?
 
Back
Top Bottom