Msaada; jinsi ya kujizuia na Panic pamoja na hasira. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada; jinsi ya kujizuia na Panic pamoja na hasira.

Discussion in 'JF Doctor' started by Kichwa Ngumu, Apr 5, 2012.

 1. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #1
  Apr 5, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,726
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  wakuu; ninashemeji yangu karibu amehama nyumba za kupanga zaidi ya nne kwa muda wa mwaka mmoja lakini nilipojaribu kuuliza ni kwa nini nikagundua kila alipokuwa anahamia alikuwa anakosana na wapangaji wengine.
  aidha nilifanya mahojiano nae na kwa kuanza nilimuambia kuwa tatizo shemeji yangu unahasira na kupanic na mara nyingi ukiwa katika hali hiyo huwa unafanya maamuzi ambayo baadae unayajutia.
  aidha alikubali kuwa yupo katika hali hiyo na kiukweli haipendi lakini hawezi kuiepuka.

  waheshimiwa naomba msaada wa jinsi ya kupunguza au kumaliza au kucontrol panic pamoja hasira
   
Loading...