Kabla ya hayo yote ... Hakikisha App yako inajiendesha
Kwa
Maana
Mpaka sasa inakuingizia pesa...
Tatua Kwanza Hilo... Make sure Una wateja wa Kukupa pesa....
Si kushauri kuingia ktk kuweka matangazo, Bali watu wakulipe moja Kwa moja...
Ijapokuwa sijui app yako inafanya mini
Kikubwa iwe inaleta pesa kabla ya kutafuta investors... Pia tafuta investors toka nje