Kisesetusese JF-Expert Member Joined Sep 12, 2022 Posts 536 Reaction score 877 Jul 31, 2024 #1 Mjadala wa kesho nataka nisikose
kimbendengu JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 8,072 Reaction score 15,345 Jul 31, 2024 #2 Kwanza follow huyo anayeanzisha mada,au nenda kwenye profile yako chini kabisa Kuna neno space then click hapo utakuta space nyingi tu wewe kachague inayokuhusu kama waswahili nenda kwa waswahili
Kwanza follow huyo anayeanzisha mada,au nenda kwenye profile yako chini kabisa Kuna neno space then click hapo utakuta space nyingi tu wewe kachague inayokuhusu kama waswahili nenda kwa waswahili