Msaada jinsi ya kujiunga na chuo cha afya lugalo, je? Naweza kupata fomu ya kujiunga bila kuapply online?

Shilongoja

Member
Apr 3, 2019
5
1
Msaada jinsi ya kujiunga na chuo cha afya lugalo yan kupata fomu ya kujiunga bila kufanya application online au kama kuna yeyote anasoma hapo naomba msaada wake
 
Nenda Mwenyewe kama hupo dar tuma mtu unayemfahamu akupe taarifa zake sahihi.

Lugalo ni Jeshini usitegemee sana kupata taarifa zao sahihi mtandaoni.
 
Hakuna icho kitu. Kwanza kupata nafasi pale ni vigumu sana
Msaada jinsi ya kujiunga na chuo cha afya lugalo yan kupata fomu ya kujiunga bila kufanya application online au kama kuna yeyote anasoma hapo naomba msaada wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…