Shilongoja
Member
- Apr 3, 2019
- 5
- 1
Msaada jinsi ya kujiunga na chuo cha afya lugalo yan kupata fomu ya kujiunga bila kufanya application online au kama kuna yeyote anasoma hapo naomba msaada wake

Shukran mkuuNenda Mwenyewe kama hupo dar tuma mtu unayemfahamu akupe taarifa zake sahihi.
Lugalo ni Jeshini usitegemee sana kupata taarifa zao sahihi mtandaoni.