Msaada: Jinsi ya kujiunga kwenye mtandao wa X

Msaada: Jinsi ya kujiunga kwenye mtandao wa X

iClever

Member
Joined
Feb 6, 2022
Posts
33
Reaction score
23
Habari naombeni msaada namna ya kufungua account ya Twitter.
Screenshot_20230812-115015.jpg
 
Hapo issue namba ya simu! +255 Elon haitambui! Hakuna option ya Email utumie Email mbadala wa namba ya simu?
 
Toa ma space kwenye namba ya cm.
Hujawahi muona Nyerere dogo?
 
Back
Top Bottom