Msaada jinsi ya kujiondoa kwenye milio ya simu (Vodacom)

Msaada jinsi ya kujiondoa kwenye milio ya simu (Vodacom)

Mfarisayomtata

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2012
Posts
474
Reaction score
188
jamani naomba anayejua anisaidie nawezaje kujitoa kwenye haya mamlio ya voda?? Mana jamaa wanakata tu hele alafu hawatoi namna ya kujitoa kwenye hayo mamlio.
 
Walipokuambia ondoka VODACOM uliwaona wajinga. na bado. utaweka vocha ya alfu tano wanaikata pasu pasu unabakia na buku bee na jero. HAMIA AIRTEL
 
jamani naomba anayejua anisaidie nawezaje kujitoa kwenye haya mamlio ya voda?? Mana jamaa wanakata tu hele alafu hawatoi namna ya kujitoa kwenye hayo mamlio.

Hahahaha kuna yule dada unaskia "bonyeza moja kuupata wimbo huu" hivi yule ni nani vile. Ushariwa wewe
 
jamani naomba anayejua anisaidie nawezaje kujitoa kwenye haya mamlio ya voda?? Mana jamaa wanakata tu hele alafu hawatoi namna ya kujitoa kwenye hayo mamlio.

fanya hivi mkuu,andika sms yenye neno ONDOA/CANCEL kisha tuma kwenda 15577.
 
  • Thanks
Reactions: Ntu
fanya hivi mkuu,andika sms yenye neno ONDOA/CANCEL kisha tuma kwenda 15577.

Mkuu na kuondoa vile v-sms vya kushinda mashindano yao wanayoyatuma mbilix2 kila baada ya muda fulani, yanaondolewaje?
 
Hahahaha kuna yule dada unaskia "bonyeza moja kuupata wimbo huu" hivi yule ni nani vile. Ushariwa wewe

ivi watu wa hivi inakuwaje mnaruhusiwa kuwa humu?? Ngoja nimuombe mod afungue ka jukwaa kenu ka vichaa labda mtapunguza ujuha wenu.
 
Hizi biashara za simu ni wizi mtupu jihadhari kujibu lolote toka kwao mchango wa wakubwa huo
 
Andika neno UNSUB tuma kwenda 15577. Ukifanikiwa useme.
 
hakuna kitu nachokiona cha kijinga kama hicho kw simu yangu
 
nawashukuru sana wadau, nimeandika ondoa kwenda 15577 nimefanikisha.
 
Vodacom kazi ni kwako..........wameshatuonya mapema!!!
 
Back
Top Bottom