Yes kwa ushirikiano wa polisi.Mkuu TRA watakubali kutoa information za mtu bila ridhaa yake?
Shukurani mkuu hata mimi nimeshangaa inakuaje anatembea na vitu vyote hivyo at once, ila kama ujuavyo watoto wa kike analia tu.Pole sana Kiongozi. Bila shaka itakuwa ni maeneo ya njiani kutokea Main campus kuja New Hostel. Maeneo hayo huwa ni kichocheo cha vijana vibaka kama hivyo.
Mdogo wetu akishatuliza akili mshauri haya yafuatayo.
1) Si vizuri kila wakati kutembea na ATM Cards, tena ATM zote mbili at once.? Atembee nazo pale tu anapohitaji kutoa pesa ATM. Otherwise iwe anasafiri.
2) Si vizuri sana kutembea na kiasi kikubwa cha pesa kisichokuwa na matumizi kwa wakati huo.
3) Fuata ushauri hapo juu, Post # 3.
Nenda na rb ya police TRAMkuu TRA watakubali kutoa information za mtu bila ridhaa yake?
Mkuu TRA watakubali kutoa information za mtu bila ridhaa yake?
Wamiliki wengi wa bodaboda maranyingi huwa hawabadilishi majina ya umiliki pindi wazinunuapo toka kwa wauzaji. Na hufanya hivyo kwa kuogopa gharama zinazohitajika TRA ili kubadili umiliki. Sasa basi anaweza kwenda TRA lakini asifanikiwe kupata information kamili za mmiliki bali atapata info za kampuni iliyoagiza pikipiki hiyo kutoka china. Kuna uwezekano mkubwa sana wa kupoteza hivyo vitu kwa huyu mdogo wetu mpendwa.Nenda TRA kufatilia mmiliki wa hiyo bodaboda kupitia utaratibu wake Wa kulipa kodi huenda ukamfahamu.
Well said...lakini yaweza kuwa ndio mwanzo mzuri kwake.Wamiliki wengi wa bodaboda maranyingi huwa hawabadilishi majina ya umiliki pindi wazinunuapo toka kwa wauzaji. Na hufanya hivyo kwa kuogopa gharama zinazohitajika TRA ili kubadili umiliki. Sasa basi anaweza kwenda TRA lakini asifanikiwe kupata information kamili za mmiliki bali atapata info za kampuni iliyoagiza pikipiki hiyo kutoka china. Kuna uwezekano mkubwa sana wa kupoteza hivyo vitu kwa huyu mdogo wetu mpendwa.
Afanye hivyo inaweza kumpa matumaini ya kurejesha vitu vyake.Well said...lakini yaweza kuwa ndio mwanzo mzuri kwake.
Pole zimuendee.
Duhhh......[emoji47] [emoji47]Si ana RB mkuu au haitasaidia.
Bodaboda wenzangu wamekuwa wajinga sana wanafanya tunakuwa hatuaminiwi.