Msaada jinsi ya kuifungia simu kwa kutumia IMEI

xenon

Senior Member
Nov 17, 2016
130
79
Nimeibiwa simu sasa nataka niifungie simu yangu ili tukose wote mimi na huyo mwizi wa simu na kama kuna app ya kuweza kuitrack ili niweze kuijua ilipo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haiwezekani ni ndoto hiyo, inawekewa certification upya inapiga mzigo

Nunua tu nyingine usiaribu pesa zako
 
Nenda polisi kwa kutumia imei wanamkamata kama kuku huyo.wanamkamata chapu kwa haraka.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nimeibiwa simu sasa nataka niifungie simu yangu ili tukose wote mimi na huyo mwizi wa simu na kama kuna app ya kuweza kuitrack ili niweze kuijua ilipo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Siku hizi na wezi nao wamejiongeza wakiiba simu waneanda badilisha IMEI ili isikamatwe. Fanya ima uripoti polisi ili iweze kufuatiliwa.
 
Back
Top Bottom