Msaada jinsi ya kuhama chuo kimoja kwenda kingine

Msaada jinsi ya kuhama chuo kimoja kwenda kingine

Muwe mnapitia matangazo, si Kuna mdau katoa link kutoka tcu namna yakufanya ili uhame, hivyo uwe unapitia notes Za wengine
 
Kwa uelewa wangu, Vyuoni hawahami kama sekondari. Vinginevyo usiende ulikopangiwa ili uombe mwakani kwenye vyuo unavyovitaka
 
Back
Top Bottom