Msaada jinsi ya kufungua account bank

bokilo

JF-Expert Member
Nov 30, 2015
498
969
Habari ndugu zangu.

Naomba kujua vigezo, sheria na mashart ya kufungua account bank ya nmb.
 
Km una umri wa miaka miwili ni sahihi kukuelekeza lkn km una above 15 na unatuuliza hilo inabidi tushangae
 
Ulipotaka kufungua ya jf c uliitafuta jf website au app ukafungua account sasa itafute Nmb bank ukafungue.. labda kwa ushaur tu uwe na kianzio kama elfu20 hiv yakufungulia account.
 
Hata kutembelea tawi lililo jirani ulishindwa mkuu? basi hata jirani ndugu,rafiki ulishindwa kumuuliza?
Benki kuna akaunti za aina tofauti,asa sijui utasidiwaje hapa. ushauri tembelea tawi lolote la nmb, wakupe maelezo. Kumbuka kurudisha majibu humu.
 
Habari ndugu zangu.

Naomba kujua vigezo, sheria na mashart ya kufungua account bank ya nmb.
Nenda katika ofisi ya serikali za mitaa eneo unaloishi. Omba barua ya kukutambulisha benki ili uweze kufungua acount. Uwe na picha (Passport size) zenye zenye background nyeupe. Peleka barua kwenye tawi la bank lililo karibu na wewe. Uwe na kitambulisho (kupigia kura,Leseni au Passport).
 
Back
Top Bottom