Msaada Jinsi ya Kuflash Samsung Solstice A887. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada Jinsi ya Kuflash Samsung Solstice A887.

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Gbollin, Oct 1, 2011.

 1. Gbollin

  Gbollin JF-Expert Member

  #1
  Oct 1, 2011
  Joined: Oct 20, 2009
  Messages: 589
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  WanaJamvi.

  Nimenunua Samsung A887, Wakati naitumia kwenye internet ghafla ikazima, nilipojaribu kuiwasha ikawa inawaka na kujizima yenyewe tendo ambalo linajirudia mara kwa mara mpaka nilipoamua kuizima moja kwa moja. Nimejaribu njia mbalimbali za kutaka kuiflash lakini nimeshindwa sababu kila flashing file file ninalodownload linakuwa halijatimia. Kwa kifupi nimedownload kama mara 6 lakini zote nimeambulia patupu.

  Naleta kwenu wana Jamvi kama kuna mtu yeyote anaefahamu jinsi ya kupata file kama hili au njia zake za kuflash basi tupeane ujuzi.
   
 2. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #2
  Oct 3, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  mkuu japo sijakuelewa vzuri mafail yanakuwa ayajatimia kivipi? je unajua namna ya kuiflash? je simu inasoma kwenye pc? nijibu hayo kisha tuendelee
   
Loading...