MKUU WALA USIHOFU, KAMA UNATUMIA USAFIRI WA JAMII (COASTER) MWAMBIE CONDUCTOR AKUSHUSHE SANAWARI. UKISHUKA ULIZA BARABARA YA AICC KAMA WEWE NI KIJANA UNAWEZA KUTEMBEA TU , AU UNAWEZA KUKODI BODABODA AU KAMA MZEE WA SUTI CHUKUA TAXI ZIPO HAPO. KARIBU ARUSHA
Nenda hadi stand ya mabus shuka na barabara ya jogoo house inayoelekea crdb friends corner utakuwa umefika arusha trading centre ama ukifika stand tu uliza friends corner tayar ushafika hapo ATC
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.