Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,873
- 29,048
ʼnACTE ipo karibu na chuo cha kodi njia ya kufika ni ashuke kituo cha ITV anyooshe barabara moja kwa mojaHahaha ni hapo hapo msimchanganye msukuma mwenzetu huyo. Akifika na ikawa sipo, atauliza walinzi hapo hapo watamuelekeza.
Mkuu umemuelekeza baraza la mitihani sio NACTE kama alivyoombaPanda magari ya makumbusho ukifika stendi makumbusho panda magari yanayoelekea Tegeta au tabata mwambie konda akaushushe kituo cha BAMAGA ukishuka hapo vuka barabara fata ofisi za startimes ukifika TBC ujue umefika NACTE
Ahsante, nitajitahidi nauli iwepoNimeedit kwenye post uliyoniquote.
Fika Makumbusho kisha panda magari kati ya haya; MAKUMBUSHO kwenda TEGETA, BUNJU,KAWE UNUNIO,UBUNGO nk.
Kisha mwambie konda akushushe ITV. Ukifika ITV vuka barabara, chukua bajaji utafikishwa hadi NACTE.
Kama nauli majanga ni dk kama 20 kutoka hapo ITV Ila utapata tabu sana na hili jua, lakini Mimi nishatembea kwa mguu kama Mara tatu hivi
chukua TAXI mwambie dereva akupelekeWazima humu wapendwa,
Samahan, naomba kuelekezwa jinsi ya kufika NACTE ukitokea mbagala, naomba kuelekezwa nipande magari ya wapi hatua kwa hatua ili nifike maana ni mgeni kabisa Dar es salaam.
Ahsanteni
Ubarikiwe sana, nimefika narudi sasaNimeedit kwenye post uliyoniquote.
Fika Makumbusho kisha panda magari kati ya haya; MAKUMBUSHO kwenda TEGETA, BUNJU,KAWE UNUNIO,UBUNGO nk.
Kisha mwambie konda akushushe ITV. Ukifika ITV vuka barabara, chukua bajaji utafikishwa hadi NACTE.
Kama nauli majanga ni dk kama 20 kutoka hapo ITV Ila utapata tabu sana na hili jua, lakini Mimi nishatembea kwa mguu kama Mara tatu hivi
Hata kutembea tu ni chini ya dk 15Panda magari ya makumbusho then ukifika makumbusho panda magari ya kwenda Tegeta au bunju then waambie wakushushe ITV hapo utachukua bajaj ya shs 1000 itakupeleka mpaka geti la nacte.
Anakupotosha, Nenda Makumbusho kama ni kijana tembea mpaka TBC utakuwa umefika.Mkuu panda magari yanayoishia simu2000 then chukua boda pale waambie unaenda NACTE,buku tu,ungekuwa mwenyeji ungetembea,zipo katikati ya mwenge na ubungo,karibia na mlimani city,utaliona jengo limeandikwa NACTE..
[emoji3][emoji3][emoji3] mkuu huko unakompeleka unataka kumtoa kafara nn...Panda magari ya kivukoni ukifika panda ferry vuka upande wa pili ,kwa panton,baada ya hapo chukua bajaj ya 500 waambie unaenda gezaulole ukishuka tu ndo hapo hapo
Nimejifunza kitu kwenye huu uzi. Ni either watu hatuna muda wa kusoma kitu tukakielewa vizuri or hatutaki kupitwa so hata kama kitu mtu hana uhakika nacho atataka tu kutia neno.Ubarikiwe sana, nimefika narudi sasa
Wewe unampeleka NECTA, yeye anaenda NACTE.Panda magari ya makumbusho ukifika stendi makumbusho panda magari yanayoelekea Tegeta au tabata mwambie konda akaushushe kituo cha BAMAGA ukishuka hapo vuka barabara fata ofisi za startimes ukifika TBC ujue umefika NACTE
Nyie watu wa mikoani ebu acheni kumpoteza jamaa.Wazima humu wapendwa,
Samahan, naomba kuelekezwa jinsi ya kufika NACTE ukitokea mbagala, naomba kuelekezwa nipande magari ya wapi hatua kwa hatua ili nifike maana ni mgeni kabisa Dar es salaam.
Ahsanteni
Hahahhahahaha!!! mwambie afanye ile kitu ya wafanyakazi indirectAaah bahati mbaya me nipo tandahimba na sijawahi toka huku.
Fata maelekezo haya asikupotoshe mtuPanda magari ya kivukoni ukifika panda ferry vuka upande wa pili ,kwa panton,baada ya hapo chukua bajaj ya 500 waambie unaenda gezaulole ukishuka tu ndo hapo hapo
Kwanini asipande ya Kawe akashuka My fair ?Panda magari ya makumbusho then ukifika makumbusho panda magari ya kwenda Tegeta au bunju then waambie wakushushe ITV hapo utachukua bajaj ya shs 1000 itakupeleka mpaka geti la nacte.