Msaada jinsi ya kufanya second round application

Msaada jinsi ya kufanya second round application

Teacher Emma

Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
21
Reaction score
9
Habari zenu wadau!?
Katika tangazo lililotolewa na TCU juu ya hatua za kufanya second round application wameonesha unaweza kujaza hadi vyuo vitano kwa wale waliokosa first round application lakini ukifanya inakuja option ya kujaza tu chuo kimoja. Na ukibofya sehemu ya kuangalia rejected reasons bado vinaonekana vyuo nilivyojaza kwenye first round application. Mwenye kuelewa tafadhali anijuze hii imekaaje.
 
[quote uid=305463 name="Teacher Emma" post=17619557]Mbona mm naona sehemu ya kujaza chuo kimoja tu, umefanyeje ili kujaza vyote hiyvo? Msaada tafadhali[/QUOTE]<br /><br /><b>Upande Wako Wa <font color="red">KUSHOTO</font> kwenye <font color="red">PC/MOBILE</font> utakuta Neno <font color="red">"Make 2nd Round Selection"</font> Basi Ukishajaza Chuo Kimoja <font color="red">Liclick/Litouch</font> Neno Hilo, Ukishajaza Chuo Cha Pili <font color="red"><b>Liclick/Litouch</b></font><b> Neno Hilo! Fanya Hivyo Hivyo Mpaka Umalize Machaguo Yako Kwani Neno Hilo Ndiyo Linalotumika Kujaza Vyuo/Machaguo.</b></b>
 
Back
Top Bottom