Bila kupoteza muda, naomba msaada jinsi ya kufanya confirmation kwa wanafunzi walio chaguliwa kujiunga na vyuo vya elimu na mafunzo ya ufundi niki maanisha walio chaguliwa kutoka form four moja kwa moja.
Ni hilo tu.
cku unajisajili nazani ulipewa user name pamoja password yake hvo unatakiwa utumie hizohizo kuingia na ukikoxea ata kitu kimoja aiwezi kufunguka kuwa makini wakati unaingiza

iyo haitumii user name mkuu anatakiwa kuweka namba ya mtihani pamoja na email Apo ikifunguka majina atayakuta umo ndani pamoja na course aliyochaguliwa atajaza anapoitajika kujaza
Note:wakati wa kujaza namba ya shule asiweke nukta Kama tulivozoea
Mfano S.1007/004❌❌
S1007/004✔️ kwa chini utaweka email