Msaada: Jinsi ya kudownload software na apps bila kufanya surveys

Msaada: Jinsi ya kudownload software na apps bila kufanya surveys

PlayBoyMwema

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2014
Posts
1,716
Reaction score
1,842
Kama na wewe ni moja ya watu wanaopenda kudownload softwares na apps nadhan ushawahi kukutana na hili tatizo ambapo unaambiwa ili ufanikiwe kudownload kitu unachotaka lazima ufanye moja ya surveys ndipo file lako litafunguka na utaruhusiwa kudowload lakin mara nyingi unakuta hizo surveys zinakuwa hazipatikan katika nchi yetu hivo basi kama kuna mtu anafahamu jinsi ya Kudownload bila kufanya surveys ningependa anisaidie ( How to bypass surveys )
 
Back
Top Bottom