Nakumbuka nilikua natumia application moja inaitwa 'Google Book Downloader' kama sijakosea...inachokifanya huwa inakamata pages za kitabu kilichopo Google books via URL na kudownload kama jpge au pdf...jaribu kugoogle hiyo software naamini itakusaidia mkuu