Habari wana jamvi,
Mi ni msomaji sana wa vitabu. Na napenda sana kusoma na kusikiliza vitabu, lakini bado sijajua namna ya kudownload audio books. Navihitaji sana. Natanguliza shukran
USHAULI #2
Na vitabu vingine utavipata kwa kufuata hivi hatua
1. Download na install katika pc yako Torrent client hapa: Tixati.com - Home
2. Tafuta kitabu unachohitaji kwa kutumia torrent search engine hii: bitcq.com/
3. Download Torrent file kwa kuclick alama ya download
4. Fungua hiyo torrent file. Tixat itafunguka na kufanyia kazi hilo file.
5. Iache Tixat imalize kudownload
USHAULI #3
1. Jisaji katika hii site amazon.com
2. Seach amazon.com kupata free audio books ( acha audio book wanazouza) zipo audio book nyingi na ni bure