msaada jinsi ya kucrack password

.
sija elewa unachokiandika.........
.
na unacho maanisha hapo kwenye RED
.
.
 
UNatumia windows gani, toa full info, kuna windows nyingi
 
Inaelekea umekalili mkuu!
Hamna Windows 7 au Vista inayofanya hivyo.

usibishe kwa kitu usichokifahamu. maarifa hayaishii kwa unachokifahamu wewe tu. mimi siku zote natumia cd yangu ya windows 7 Royale original pia ninawindows vista ambazo ukiirun kwa kuboot kama unainstall inakuletea menu ya cd zikiwa kwenye No. mf 1: Install Windows, 2: Windows Live, 3: Password Crack n.k ambapo unabonyeza namba ya huduma pc inafanya. mf. namba 3 then yenyewe inakudirect kwa comp users wote waliopo unachagua user unayetaka kudelete password yake kwa mwisho utaambiwa ubonyeze Y au S kusave. Hiyo kazi kwangu me ni dk 2 tu. ningekuwa home ningeshot screen niweke hapa.
 
kwa hyo mkuu,nahtaj cd ya window tu,kisha niiboot km nataka kuinstal,baada ha hapo inaleta mambo gan,nielekeze kwa kifup mkuu,je italeta user accounts?na km italeta hvyo ntafanyaje?

jaribu kupitia jibu langu kwa Kwetu Ngoreme pg 2. kifupi ni kwamba mm mf nina cd 2 seven na vista nazitumia all the time kucrack window ya aina yyt ile kwa kufuta kabisa password ndio maana nikaeleza vile me nafanya. Ni hivi, unaingiza cd yako ya window hasa 7. unarestat na kuboot kama unaingiza window upya. itakuletea menu ya cd ikiwa imelist kwa namba vitu vinavyoweza fanywa mf. 1. install windows, 2. Windows Live, 3. Password Crack n.k. ukichagua namba ya kucrack itakudirect kwenye users wa pc yako wote kwa majina yao mf 1. Administrator 2. Masterproud n.k hapo utachagua user ambaye unataka password yake iwe deleted then itakwambia kubonyeza Y for Yess ili kusave na mwisho utabonyeza escape itarestat comp na hautaulizwa password. kama unausers wng utaclick kwa yule uliyedelete password yake. hata hvy unaweza tena kuweka password tena nyingine baadae ukitaka.
 
Ni hivi, unaingiza cd yako ya window hasa 7. unarestat na kuboot kama unaingiza window upya. itakuletea menu ya cd ikiwa imelist kwa namba vitu vinavyoweza fanywa mf. 1. install windows, 2. Windows Live, 3. Password Crack n.k.
Ndo maana nakuambia umekalili mkuu, hizo Cd za Multboot za Wahindi nazijua na ninazo za kila aina, Hamna cd ya Windows 7 au Vista inayofanya hivyo. Hivyo vyote ulivyo visema navijua ila unakosea jinsi ya kumuelekeza Customer.
 
dah jamaa kameza kweli, labda anahisi crack ya windows badala ya kutumia key, ila mtu ka lock bios user interface utai crack vp kwa kutumia cd ya windows, aiseeeee. boss hiyo haiweekani.
 
boss labda hiyo cd uliokua nayo ina software ya ku crack password built in maana kuna windows zingine wkt una install kua software nyingi ndani yake km vile vlc, adobe, antivirus ndani yake. lakini windows yenyewe haina uwezo huo wa ku crack password mtu alioisahau , ina uwezo wa ku crack ile key ya windows ikawa genuine dats ol man.
 
Asante sana wakuu,nimedownlod hyo kitu,nikaiburn,imefanya kaz,shukran sana wakuu.
 
pole sn man. hay ngoja nijaribu kukufundisha command, lkn kwanza nahitaji kujua computer yako ina user ngapi, na pia una uwezo wa kuingia guest user au ipo user moja tu na ndo hyo hyo umei lock na password.
 
pole sn man. hay ngoja nijaribu kukufundisha command, lkn kwanza nahitaji kujua computer yako ina user ngapi, na pia una uwezo wa kuingia guest user au ipo user moja tu na ndo hyo hyo umei lock na password.

user wawili
 
Habari. Natumai mzima. samahani kwa kupotea siku mbili hz, nlikua nimebanwa kidogo na majukumu. nataka nikufundishe command ambayo utatumia ku crack hiyo kitu. ila naomba uelewa kitu kimoja hii ni nondo kwahiyo twist mind yako kbsa kua hii kitu ni levo ya juu, na pia usiogope sn ni kawaida sn kwa anejua, sema hufahamu kbsa code naomba niku boost tuone km tunaweza kufanikiwa.

Sasa ina process kdg maana huwezi kuipata command line prompt kwnye user interface, so inabd tuilete pale sehem inayoomba password ili uweze kuchapa code kuitoa hiyo password. njia zipo nyingi ila hii ndio njia mama ninayoifahamu mimi na ninayoiona ipo effective zaidi, ila kuna watu vichwa zaidi wanaweza kukusaidia zaidi kama hii itashindikana, tunazidiana maarifa.

unapowasha computa yako, inapokua imewaka tu kabla hata haijafika kwenye user interface bace bonyeza batani ya power bila kuachia ili computa izimike kwa force. computa inapozimika iwashe tena hlf skilizia, itakuja option hizi mbili, Launch Startup Repair recommended, na ingine ni Startup windows normally, we chagua ile ya kwanza ya Launch, km haijaleta bac hold power button tena mpaka izimike hlf washa ili ilete hiyo option. ukishaingia hapo iyache ita load kidogo itakapoleta dialog box ya Startup repair na ikaomba kutumia system restore wewe bonyeza cancel. hapo itachukua mda mrefu sn, lkn we kua na subira mpka imalize, ikimaliza itakwambia kua imeshindwa kurepair automatically. utaona sehem imeandikwa send information automatically recommended hiyo achana nayo, utaona pia ingine inasema don't use bac kwl usi use achana nayo, hlf chini utaona sehem imeandikwa problem details hlf kuna down button ya ku click, km haijawa automatically clicked bac we I click ili upate details chini ya matatizo/problem nyingi za computer imetoa ilivoshindwa ku repair computer, sasa uta scroll chini kbsa utaona link imeandikwa privacy statement ni link ya mwisho kbsa maana zinaweza kua mbili tatu. ukisha click hyo link italeta notepad. ikishaleta bac nenda kwenye file click na bonyeza open, ukishafungua nenda computer, uingie kwnye system local disk mara nyingi hua ni local disk c, hlf ingia window, hlf system 32, hakikisha unafika kwnye hyo system 32,pia kumbuka kwnye files n type utaiona kwnye hyo hyo dialog box badili na uweke All files ili uweze kuona files zote. tafuta ki file kinaitwa "sethc", rename hilo jina la file na andika "sethc-bak", usiweke hzo apostrophe mbili. pia kwnye folder hilo hilo tafuta file inaitwa "cmd", copy hio file hlf hapo hapo pembeni paste it, italeta yenyewe automatic "cmd-copy" sasa hii file badilisha jina lake rename it to "sethc". ngoja nikwambia kwann nafanya hivo maana napenda ufahamu na sio kumeza. hyo sethc ni ka program ya ku access keys maana tukirudi kule kwenye user interface inapoomba password tutabonyeza shift key mara 5 hii ni kuwaza kuleta sticky keys, sasa badala ya kuleta sticky key bac iweze ku display hiyo cmd, na cmd ndio hyo sehem ambayo utaweza kuchapa hizo code. ukishamaliza close kila kitu na u restart computa yako, iyache ili ifike pale inapoomba password na ubonyeze "Shift" key ipo kwnye keyboard yko, bonyeza mara 5 na italeta command prompt interface, ni cmd dialbox sasa hapo ndo tunaweza ku crack password yako. ikileta hyo cmd ina background nyeusi, type hivi, "net user", italeta user zote ambazo ipo kwnye computer yako, sasa ile user ambayo ina password km uliandika jina lako mfano Einstein, bac andika hivi, "net user Einstein *", hapa kua makini tu kwnye hzo vibano viwili usiweke ila hicho kinyota yaan star iweke km ilivo nlivoandika hapo. sasa itakuomba uandike password, andika, kama itaomba uandike tena password andika password hyo hyo, waweza kuandika hata 12345, unavopenda. js faham kua hautaona inavoandika ila ww press button za password bila kukosea, hakikisha unaandika sawa. ukimaliza hapo nenda kaiandike hyo password kwnye ile user interface na computer yako itafunguka. natumai hii post itakusaidia, nimejaribu kuiandika kwa lugha nyepesi, ukifata maelekezo yngu utafanikiwa. naomba unipe feedback tafadhali. kila la heri. ASANTE
 
Naona umefanikiwa kwa kutumia CD, ila mara nyingi software hua hazikubali kote, ila command ipo effective, kama ni mtu unaependa knowledge, bac jaribu hiyo process ya juu. nimefarijika kujua umefanikiwa. ASANTE
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…