Msaada: Jinsi ya kuchora jedwali la majira ya nukta kwenye microsoft word

Naomba msaada wa kuchora jedwali la majira ya nukta kwa kutumia microsoft word
Ukienda kwenye Microsoft word, nenda kwenye "INSERT" alafu utaona sehemu ya charts. Jichagulie jedwali lolote hapo
 
Back
Top Bottom