Msaada: Jinsi ya kublock TBC

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,722
Reaction score
21,959
Husika na kichwa cha habari hapo juu,
Mimi ni mmiliki wa king'amuzi cha startimes nilikua naomba msaada wa kuweza kublock channel tajwa hapo juu kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu .
Labda utajiuliza si niache tu kuangalia? lakini mke wangu ni mbishi sana,mara ya mwisho nilimwambia kupenda kufanya vitu nisivyopenda ni kuiweka ndoa yetu matatani.
Au kama utanisaidia jinsi ya kuweka parental control nitafurahi sana
 

We ni mtu wanne nimeona umekuja tatizo hili!!! Ivi why tbc na sio itv...azam...chanel5..???why tbc??? Hii nchi iwe makin sana....na ikiwezekana wabadili jina...isiwe tbc..iwe ccm tv!!! Its pitty
 
Ngoja waje wataalam waje kukisaidia najua hautaki kuiona CCM hongera katika hilo
 
Atakayefanikiwa alete mrejesho ili itusaidie wengi! Japo kodi yangu bado inaniuma sana!
 
mimi nina dstv nimeweka parental control kwa hicho hiyo chanell, kuna siku nilimkuta dada kawawekea watoto tbc kumuuliza hii nini akajibu kipindi kinaitwa cheleko, nikamwambia ni marufuku kuwawekea wanangu tbc, nikaifunga toka siku hiyo.
Mkaanga Sumu na GreenCity chukua ujanja hapa...
 
Last edited by a moderator:
Tbc ni janga la kitaifa binafsi yangu nina chuki na tbc yaani damu inanichemka nikiona watoto home wanaangalia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…