Msaada jinsi ya kublock au kubaclist

ngoja wataalam waje wa hizo simu
mm najua Blacklist option yake zaidi ni kwenye Settings au calling
 
Fungua Google playstore halafu tafuta (search) call blocker. Utapata apps nyingi za namna hiyo; chagua inayokufaa na ku-install
 
Truecaller ni afadhali lakini chalenge ya android ni hizo apps na matangazo ni kero kuliko hizo spam za sms. Take my word ndio maana mimi nawaheshimu sana apple, huu upuuzi wa spam haupo kwenye iphone
 
Back
Top Bottom