Msaada jinsi ya kubadilisha donts za ifonts

Msaada jinsi ya kubadilisha donts za ifonts

Naftari Erasto

Senior Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
108
Reaction score
50
Msaada jinsi ya kubadilisha fonts za application ya ifont.
Wana JF naombeni msaada jinsi gani niweze kubadili muundo wa maandishi uliopo kwenye application ya ifont kurudisha kwenye fonts za kawaida?
Halafu msaada juu ya kufungua play store. Simu yangu ina tatizo la kushindwa kufunguka kwenye Google play store ninashindwa kupakua applications mbali mbali
 
Back
Top Bottom