Msaada Jinsi ya kubadili simu ya vodafone isome laini zote

Ni vfd100 au vfd1100?
Mkuu kuna tecno S1 ya tigo,laini moja inatumia tigo tu na data ni 3g+E ila laini ya pili inatumia yoyote ila data ni E,je unaweza kuifungua laini one itumie mitandao yote!?Je unaweza kupandisha laini two data isome vyote E,3g nk.?
 
Cha kufanya hapo....jaribu ku edit hzo Emei number bila shaka lazima itajiunlock....Namna ya ku edit imei number nicheki inbox nitakuelekeza maana siunajua hii inshu ni illegal
 
Mkuu kuna tecno S1 ya tigo,laini moja inatumia tigo tu na data ni 3g+E ila laini ya pili inatumia yoyote ila data ni E,je unaweza kuifungua laini one itumie mitandao yote!?Je unaweza kupandisha laini two data isome vyote E,3g nk.?
Hiyo simu hadi niwe nayo mkononi au nikutumie unlocked file.
 
dah tatizo nipo mbali kidogo na hapo ulipo khm.je hiyo njia yakutuma unlocked file ni salama!?gharama zake zipoje kufanikisha I'll zoezi!?
 
Mkuu na Simu janja za tigo S1 siunaweza kuitoa lock
Kwa wale wote wenye simu za Mediatek (mtk) mnaweza mkadownload program hii ya nck hapa utaweza kutoa lock kwenye simu za mtk na kuna operation zingine za ziada, lakini simu yako kama ina secure boot haitakufaa.
 
Naambiwa iko expired
 
Back
Top Bottom