Msaada Jinsi ya kubadili simu ya vodafone isome laini zote

Msaada Jinsi ya kubadili simu ya vodafone isome laini zote

mbotoro kivoi

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2017
Posts
2,015
Reaction score
2,995
Cim yang inasumbua mahal nlipo n kijiji san inasoma E tofauti ba zaman nlivokua mjini kat af napata shid mtandaoni coz ina serch mdaa mrefu san mweny kujua application itakayo nisaidia kutumia laini zote anisaidie karibuni
 
Tumia lugha sahihi uasaidiwe.
 
kufeli ni majibu yasiyokidhi mi nakushauri ujifunze namna ya kuuliza swali ili ueleweke kwa watu .
 
Vfd200 ninaweza kuitoa lock kwa njia ya remote unlock unachotakiwa ni kutuma Imei namba na sh5000 nami nitakutumia unlock code.
Em unlock kwanz af ntakutumua iyo 3000 mkuu 2nasaidiana
 
Mkuu hio ni mpaka ukai Flash kwa mwenye kufaham. Kuflash kwa kitumia laptop
Kwasabb kuna tools zake pamoja na Flashing Box ya simu kama hizo
 
Back
Top Bottom