Msaada jinsi ya kuagiza simu nje

Msaada jinsi ya kuagiza simu nje

Cash Generating Unit

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
13,285
Reaction score
39,491
Good morning wanafamilia bila kupoteza muda, naomba msaada wa kuagza simu nje anaejua au fahamu web nzuri ya kuagza mzigo classic bila figisu anisaidie web pamoja shipping cost zake.

Kununua sim bongo sahv ni mtihan nyingi ni refurbished watakwambia mpya.
 
Bora ununue refurb bongo utaitumia ikisumbua unairudsha ulpochukua,sasa uagze cm nje alaf ifke unatumia mwez inaanza kusumbua utaituma tena nje?
 
Good morning wanafamilia bila kupoteza muda, naomba msaada wa kuagza simu nje anaejua au fahamu web nzuri ya kuagza mzigo classic bila figisu anisaidie web pamoja shipping cost zake.

Kununua sim bongo sahv ni mtihan nyingi ni refurbished watakwambia mpya.
Kama unanunua brand za Usa kwa bei ya chini utapata site za Usa kama Amazon, kama ni brand ya China unapata Aliexpress etc. Hakuna formula maalumu ama bei maalumu ya vifaa au shiping cost.
 
Hakikisha unachotaka kununua bongo hakipo... unless uwe na mapesa ya kuchezea
 
Back
Top Bottom