Msaada jinsi ya ku-updates iOS kwenye iPhone Version 4.1(8B117)

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
25,443
Reaction score
46,201
Wakuu nina simu iPhone Version 4.1 nashindwa kudowloads vitu vingi sababu ya hiyo Version kutokuwa na uwezo huo maana kila nikidowloads i.e whatsApp inaniambia niiupdates to iOS 7. Tatizo lingine natumia Safari ku-browes na Ku downloads nayo inagoma .
 
Mkuu sema ni version ipi, sio 4.1 hiyo ni series ya ios ambayo ni ya kitambo, sema kama ni 3gs, 4, 4s, 5 n.k then tutaanzia hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…