Msaada jinsi ya ku unroot tecno c8

Msaada jinsi ya ku unroot tecno c8

Kuna software inaitwa kingo root, hii unaweza kuroot simu lakini pia ukiamua kuunroot unaitumia hii hii, unahitaji tu connection ya internet, usb cord na computer.

Ukiingia google unaweza idownload hii software bure kabisa na ni rahisi kutumia.
 
Back
Top Bottom