Tuwasiliane kupia huu uzi: https://www.jamiiforums.com/matanga...locking-phone-by-imei-number.html#post8414964Jaman mimi ni member mpya naomba msaada kwa weredi wa mambo haya. Nimetumiwa simu na ndugu yangu lakini kila nikiweka line inaandika sim lock, naweza pata msaada wa namna ya ku unlock? nipo moro msaada tafadhari