Msaada Jinsi ya ku unlock password ya phone screen

Ngumu kumeza

JF-Expert Member
Jun 19, 2012
577
354
Habari wakuu

Niende kwenye mada moja kwa moja, wakuu naomba msaada wenu kuelekezwa namna ya kutoa lock kwenye simu yangu nimesahau password.

Natanguliza shukrani.
 
Back
Top Bottom